JamiiCheck
June 16, 2025 at 04:39 AM
JamiiCheck imefuatilia na kujiridhisha kuwa Taarifa inayodai Zitto Kabwe kusema 'Amani yetu isichezewe kwa ujiko wa kisiasa' si ya Kweli.
Ufuatiliaji umebaini kuwa andiko linaloonekana kwenye grafiki hiyo halijachapishwa na Zitto kupitia kurasa zake rasmi za mitandao ya kijamii.
Aidha, grafiki iliyotumika si ya Mwananchi kama inavyoonekana, pia ina makosa kadhaa ikiwemo ya kiuandishi.
Soma https://jamii.app/ZittoKanisaGwajima