JamiiCheck

JamiiCheck

79.6K subscribers

Verified Channel
JamiiCheck
JamiiCheck
June 16, 2025 at 01:52 PM
JamiiCheck imefuatilia na kujiridhisha kuwa taarifa inayodai Tundu Lissu amesema hana imani na Mawakili wake 30 na kuwaita wasaliti ni Potoshi. Wakati akiwasilisha hoja ya kutaka kujitetea, Lissu hakutamka maneno hayo, bali alisisitiza kuwa ana imani na uwezo wa Mawakili hao. Alitaja sababu za hatua hiyo bila kuhusisha usaliti. Aidha, grafiki iliyotumika kusambaza Upotoshaji huo haijachapishwa na chanzo hicho. Soma https://jamii.app/Lissukujitetea
Image from JamiiCheck: JamiiCheck imefuatilia na kujiridhisha kuwa taarifa inayodai Tundu Lis...
🙏 1

Comments