
JamiiCheck
June 16, 2025 at 05:09 PM
Mdau shiriki kuthibitisha Picha inayomuonesha mwanaume aliyepanda farasi kama ni halisi au ni ya kutengenezwa.
Bainisha vigezo muhimu vilivyokusaidia kupata majibu yako.
Kushiriki mjadala bofya https://jamii.app/PichaFarasi
