JamiiCheck

JamiiCheck

79.6K subscribers

Verified Channel
JamiiCheck
JamiiCheck
June 17, 2025 at 03:21 PM
Ufuatiliaji wa JamiiCheck umejiridhisha kuwa Taarifa inayosambazwa ikidai kuwa "Aliyemwagiwa tindikali na CHADEMA azua gumzo" si ya Kweli kwani majeraha yake hayahusiani na chama hicho. Kwa kutumia Google Reverse Image Search, iligundulika kuwa picha hiyo ni ya Kechi Okwuchi, iliyowekwa mtandaoni Mei 30, 2025 na yeye mwenyewe akitangaza kitabu chake 'More Than My Scars'. Kwa mujibu wa Groos Man Burn Foundation, Kechi alipata majeraha ya moto mwaka 2005 baada ya ajali ya ndege iliyosababisha vifo vya abiria wote isipokuwa wawili, akiwemo yeye. Soma https://jamii.app/KechiChadema
Image from JamiiCheck: Ufuatiliaji wa JamiiCheck umejiridhisha kuwa Taarifa inayosambazwa iki...
😂 👍 5

Comments