JamiiCheck

JamiiCheck

79.6K subscribers

Verified Channel
JamiiCheck
JamiiCheck
June 18, 2025 at 02:53 PM
Ujumbe wa Salome Kitomari, Mhariri wa The Guardian unasisitiza umuhimu wa wajibu wa Vyombo vya Habari katika kuzuia Taarifa Potoshi na kuwezesha upatikanaji wa Taarifa Sahihi kwa Wananchi ili waweze kufanya Maamuzi Sahihi kwa wakati. Tumia Majukwaa ya Uhakiki kama JamiiCheck.com ili kupata Taarifa Sahihi na msaada wa Uthibitishaji wa Taarifa kwa haraka Soma https://jamii.app/SalomeTaarifaSahihi Video kwa hisani ya TCRA
😮 1

Comments