JamiiCheck

JamiiCheck

79.6K subscribers

Verified Channel
JamiiCheck
JamiiCheck
June 20, 2025 at 11:15 AM
Kwa kutumia utafutaji wa maneno muhimu, JamiiCheck imejiridhisha kuwa chapisho lenye utambulisho wa Jambo TV, likinukuu andiko kutoka mtandao wa X kuwa 'Maria Sarungi adai Mpina ni dikteta, hafai kuonewa huruma.' si la kweli. Ufuatiliaji umebainisha kuwa andiko lililonukuliwa si halisi kwani halikuchapishwa na Maria Sarungi katika ukurasa wake rasmi wa X, bali ni la kutengenezwa. Aidha, grafiki iliyotumika kusambaza taarifa hiyo ni ya kughushi, kwani haikuchapishwa na Jambo TV. Soma https://jamii.app/MariaSarungiMpina
Image from JamiiCheck: Kwa kutumia utafutaji wa maneno muhimu, JamiiCheck imejiridhisha kuwa ...

Comments