
JamiiForums
June 20, 2025 at 11:47 AM
DAR: Kupitia Ukurasa wa X wa Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa Chama cha ACT - Wazalendo, Shangwe Ayo, amesema Polisi wamefika katika Ofisi za Chama hicho na kumkamata Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Janeth Rithe, kwa agizo la Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Kanda Maalumu ya Dar es Salaam (ZCO
Soma https://jamii.app/PolisiACTWazalendoJaneth

😂
👍
🖕
😢
😮
🙏
🤮
14