
JamiiForums
June 20, 2025 at 12:47 PM
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa taarifa ya wito wa kufanyika kwa Sala na mfungo wa kuombea Haki na Amani nchini Agosti 23, 2025 kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025
Taarifa iliyotolewa na Baraza hilo leo Juni 20, 2025, imesema kuwa kila Jimbo, Parokia, Jumuiya za Kitawa na Taasisi wataweka utaratibu utakaowawezesha kusali na kutubu kwa masaa 12 au 24 kulingana na uwezo wa Mazingira
Soma https://jamii.app/SalaKatolikiTZ

🙏
❤️
👍
😂
😢
❌
❤
👏
👮♂️
😭
36