JamiiForums

JamiiForums

712.6K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
June 20, 2025 at 05:01 PM
Kijana unafahamu matumizi ya kodi nchini? Fedha za umma si za viongozi ni za wananchi. Kama raia anayewajibika unayohaki ya kufuatilia miradi ya maendeleo, kuhoji kuhusu bajeti zake na kuhakikisha zinatumika kwa usahihi
Image from JamiiForums: Kijana unafahamu matumizi ya kodi nchini?  Fedha za umma si za viongoz...
😂 👍 ❤️ 👊 🇹🇿 🫴 15

Comments