
JamiiForums
June 20, 2025 at 06:24 PM
Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) imeidhinisha dawa mpya iitwayo (Yeztugo) Lenacapavir ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI, ambayo imeelezwa kupunguza hatari ya maambukizi kwa Asilimia 99.9
Dawa hiyo inatolewa kwa sindano mara mbili kwa Mwaka na inadaiwa inaweza kuuzwa kwa Tsh. Milioni 66.396
Aidha, uidhinishwaji wa dawa hiyo umetokea wakati ambapo Serikali ya Trump imepunguza kwa kiasi kikubwa fedha zinazotolewa kwa ajili ya huduma za matibabu na kinga dhidi ya VVU, ndani na nje ya Marekani, jambo linalozua wasiwasi kuhusu upatikanaji wa dawa hiyo kwa Watu wa kipato cha chini
Soma https://jamii.app/DawaKuzuiaVVU

😂
❤️
👍
🙏
10