JamiiForums

JamiiForums

712.6K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
June 20, 2025 at 07:21 PM
UGANDA: Naibu Waziri Mkuu wa Pili na Jenerali Mstaafu Moses Ali amechukua fomu za uteuzi ili kuwania Ubunge wa Jimbo la Adjumani West kupitia Chama cha National Resistance Movement (NRM), kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2026 Moses Ali amewahi kushikilia nyadhifa mbalimbali za juu Serikalini kwa Miaka mingi, ikiwa ni pamoja na kuwa Naibu Kiongozi wa Shughuli za Serikali Bungeni (2011–2016), kisha kupewa wadhifa wa Naibu Waziri Mkuu wa Kwanza (2016–2021) Wanaowania nafasi hizo wanatakiwa kuchukua fomu, kukusanya sahihi kutoka kwa Wanachama wa chama waliopo kwenye majimbo yao, na kurejesha fomu hizo zilizojazwa Soma https://jamii.app/MkongweKuwaniaUbunge
😂 🙏 💔 💪 😢 😮 11

Comments