TRA TANZANIA

TRA TANZANIA

317.1K subscribers

Verified Channel
TRA TANZANIA
TRA TANZANIA
June 12, 2025 at 12:13 PM
#mbeya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo 12 Juni, 2025 imeendelea na kampeni ya utoaji elimu kwa Mlipakodi mlango kwa mlango kwa Wafanyabiashara wa maeneo ya Mwanjelwa, Kabwe na Mwenge ambapo Wafanyabiashara katika maeneo hayo wamehimizwa kwenda kulipakodi awamu ya pili, kufanya usajili wa TIN pamoja na utoaji wa risiti halali za EFD.
Image from TRA TANZANIA: <a class="text-blue-500 hover:underline cursor-pointer" href="/hashtag...
👍 ❤️ 😢 😮 🙏 11

Comments