
TRA TANZANIA
June 18, 2025 at 12:08 PM
#makambako
Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo 18 Juni, 2025 wameendelea na Kampeni ya Elimu kwa Mlipakodi ya mlango kwa mlango mkoani Njombe kwa kuwatembelea wafanyabiashara wa eneo la Makamabko na kuwapatia elimu ya kodi, kuwakumbusha kwenda kulipa kodi awamu ya pili, kutoa risiti halali za EFD, kupokea maoni na Kusikiliza changamoto zao na kuzitatua.
👍
1