TRA TANZANIA

TRA TANZANIA

317.1K subscribers

Verified Channel
TRA TANZANIA
TRA TANZANIA
June 19, 2025 at 09:48 AM
#makambako Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo 19 Juni, 2025 imeendelea na zoezi la utoaji elimu kwa Mlipakodi ya mlango kwa mlango kwa Wafanyabiashara wa Halmashauri ya mji mdogo wa Makambako mkoani Njombe, ambapo wito umetolewa kwa wafanyabiashara hao ni kwenda kulipa kodi zao kwa awamu ya pili inayoishia tarehe 30 Juni, 2025. Maafisa wa TRA pia wamewahimiza wafanyabiashara hao kutoa risiti za EFD kila wanapofanya mauzo au kutoa huduma kwa wateja wao. Halikadhalika, suala la utatuzi wa changamoto za Walipakodi mkoani hapo limeendelea na maoni yao yamepokelewa.
🙏 👍 3

Comments