
βββππππππππ‘143βββ
May 22, 2025 at 10:07 AM
Android 16 imeanza kuonekana namna ambavyo mwaka huu mfumo wa Android utakavyokuwa.
Mwonekano wake mpya itakuwa na mwonekano wa kisasa katika sehemu ya Quick Settings (sehemu ya juu ya kuona sauti, WiFi, Bluetooth n.k.
Sehemu ya Quick Settings itaelekea kufanana na mfumo wa iPhone. Itakuwa na kioo na sio rangi nyeusi kama ilivyozoeleka. Na mtumiaji atakuwa na uwezo wa kuchagua ukubwa wa size ya buttons.
Sehemu hii itakuwa inabadilika rangi kuendana na Wallpaper.
> Antelplus technologies
______
#teknolojia #android16

β€οΈ
π
2