
βββππππππππ‘143βββ
May 28, 2025 at 12:59 PM
JE, UNAJUA UNAWEZA KUANGALIA MAHALI SIMU YAKO IKO HATA IKIWA IMEZIMWA?
(Wengi hawajui hii... lakini wewe utakua Pro.)
HOW?
Kwa Android:
1. Nenda kwenye: Settings > Security > Find My Device β hakikisha imewashwa.
2. Ingia kwenye https://www.google.com/android/find
3. Utaona simu yako iko wapi (hata ikiwa silent, na ikiwa imezimwa, utaona location ya mwisho kabla haijakata).
Kwa iPhone:
1. Nenda: Settings > [Jina lako] > Find My > Find My iPhone
2. Washa βSend Last Locationβ
3. Then visit https://www.icloud.com/find
kwa android
Ukiona simu yako haipo, unaweza:
Kuifunga remotely na kuweka ujumbe (βRudisha hii simu tafadhali... kuna zawadi.β)
Kuisafisha data yote remotely (kama kuna info za kazi, picha, n.k.)
> @Antelplus tech
β€οΈ
1