
βββππππππππ‘143βββ
June 1, 2025 at 05:54 PM
Google Play Store imezindua kipengele kipya kinachotumia akili bandia (AI), kinachomruhusu mtumiaji kuuliza maswali mbalimbali kuhusu programu yoyote iliyopo kwenye duka hilo.
Kipengele hiki kinatumia teknolojia ya Gemini AI ili kutoa majibu ya haraka na sahihi kuhusu matumizi ya programu, vipengele vyake, na taarifa muhimu nyingine.
Kwa mfano, unaweza kuuliza app hiyo inafanya kazi gani, inafaa kwa matumizi gani, nani aliitengeneza, inaendana na mifumo gani, pamoja na taarifa nyingine zote unazotaka kufahamu kuhusu programu yoyote kwenye Google Play Store.
____________
#teknolojia #android #antelplus ltd

π
1