
โโโ๐๐๐๐๐๐๐๐ก143โโโ
June 4, 2025 at 06:25 AM
Tanzania iko mbioni kutunga sheria na kuweka muongozo wa kutekeleza mfumo wa kitaifa wa mtandao wa simu, ujulikanao kama National Roaming.
Kupitia mfumo huu mpya, mtumiaji wa simu ataweza kuunganishwa na mtandao wowote uliopo karibu; bila kujali kampuni ya simu ambayo amesajili laini yake.
๐ถ ๐๐๐ฎ ๐บ๐ณ๐ฎ๐ป๐ผ
Ukiwa unatumia laini (SIM Card) ya Yas na uko kijijini ambako kuna minara ya Vodacom tu, bado utaweza kupata huduma ya mtandao kama kawaida; kwa kutumia minara na mitambo ya Voda.
๐ ๐๐๐ฎ๐ณ๐ฎ๐ป๐๐ฎ ๐ธ๐ฎ๐๐ถ ๐ป๐ท๐ฒ ๐๐ฎ ๐ป๐ฐ๐ต๐ถ
Laini hiyo hiyo itafanya kazi hata ukisafiri nje ya nchi; kwenda Kenya, Uganda, au popote Afrika, bila ulazima wa kununua laini mpya. Hatua hii ni sehemu ya azimio la mawaziri wa Afrika wanaoshughulikia TEHAMA, wakilenga kuunda single African mobile network ili kuimarisha uchumi wa kidijitali wa bara.๏ฟฝ
๐๐ฎ๐๐ถ๐บ๐ฎ๐๐ฒ, ๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ ๐ถ๐ป๐ฎ๐ฒ๐น๐ฒ๐ธ๐ฒ๐ฎ ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐ฒ๐ป๐๐ถ ๐บ๐ฝ๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐๐ฎ๐๐ถ๐น๐ถ๐ฎ๐ป๐ผ ๐ฏ๐ถ๐น๐ฎ ๐บ๐ถ๐ฝ๐ฎ๐ธ๐ฎ.
Chanzo: The Citizen
_____________
#tanzania #teknolojia #antelplus tech

๐
๐
2