
βββππππππππ‘143βββ
June 19, 2025 at 12:52 PM
ππ π¦ππππ¦π ππ¦ππ¦π€π¦ ππ‘πππΈπ ππ ππππππ«πππ
ββββββββββββββββββββββββββ
Leo nakupa historia fupi na ya kweli kuhusu *OpenAI*:
π
*Ilianzishwa*: `Desemba 2015`
ποΈ *Waanzilishi*: `Elon Musk,` `Sam Altman,` `Greg Brockman,` `Ilya Sutskever,` `Wojciech Zaremba` na wengine
π― *Lengo kuu*: Kutengeneza AI ya hali ya juu (AGI β Artificial General Intelligence) ambayo ni salama na faida yake inawanufaisha wanadamu wote.
πΉ *Ilianza kama taasisi ya non-profit*
π *2019*: Iliunda kampuni tanzu ya kibiashara (*OpenAI LP*) ili kuvutia uwekezaji mkubwa β huku wakisema βfaida ni ya kikomoβ (capped-profit).
π¨πΎβπ€ *Microsoft* aliwekeza zaidi ya π²10 bilioni kuanzia ```2019β2023,``` na wakashirikiana rasmi β Microsoft sasa hutumia teknolojia ya OpenAI kwenye *Bing,* *Copilot,* n.k.
π *Bidhaa maarufu*: `ChatGPT,` `GPT-3,` `GPT-4,` `DALLΒ·E,` `Codex`
πΊ *Mkurugenzi Mkuu (CEO)* wa sasa: *`Sam Altman`*
```Kwa sasa, OpenAI ni moja ya taasisi kubwa zaidi duniani katika utafiti na maendeleo ya AI, ikiendelea kusisitiza usalama na matumizi mazuri ya AI.```
> *SHAKTech143* | _be more than a professional_

β€οΈ
2