
┍━┙𝐒𝐇𝐀𝐊𝐓𝐞𝐜𝐡143┕━┑
June 20, 2025 at 01:28 PM
⏱️ Keyboard Shortcuts That Make You a Computer Pro!
Njia za Mkato za Kompyuta Zitakazokufanya Mtaalamu wa Haraka!
👇 Master these shortcuts and boost your productivity instantly!
👇 Jua hizi njia za mkato na uongeze kasi ya kazi zako papo hapo:
✅ Basic Commands / Amri za Msingi:
Ctrl + A – Select All / Chagua kila kitu
Ctrl + C – Copy / Nakili
Ctrl + V – Paste / Bandika
Ctrl + X – Cut / Kata
Ctrl + Z – Undo / Rudisha nyuma
Ctrl + S – Save / Hifadhi
Ctrl + P – Print / Chapisha
📝 Editing & Formatting / Uhariri & Mpangilio:
Ctrl + B – Bold / Andika kwa wino mzito
Ctrl + I – Italic / Andika kwa maandishi ya mwinamo
Ctrl + U – Underline / Piga mstari chini
Ctrl + E – Center Align / Pangilia katikati
Ctrl + L – Align Left / Pangilia kushoto
Ctrl + R – Align Right / Pangilia kulia
Ctrl + J – Justify / Pangilia sawa pande zote
📂 Files & Windows / Mafaili na Madirisha:
Ctrl + N – New document / Fungua document mpya
Ctrl + O – Open / Fungua faili
Ctrl + W – Close / Funga dirisha
Alt + F4 – Close program / Funga programu kabisa
Windows + D – Go to desktop / Nenda kwenye desktop
Windows + E – Open File Explorer / Fungua faili zako
Windows + P – Project screen / Onyesha skrini kwa kifaa kingine
⏳ Date & Time (Excel):
Ctrl + ; – Insert Current Date / Ingiza tarehe ya sasa
Ctrl + : – Insert Current Time / Ingiza saa ya sasa
💡 Extra Tips / Vidokezo vya Ziada:
Using shortcuts helps you finish tasks faster, look professional, and reduce mouse use.
Kutumia njia za mkato hukusaidia kumaliza kazi haraka, kuonekana pro, na kupunguza matumizi ya mouse.
📌 Share this with friends who use computers – they'll thank you later!
By > antelplus tech 🔥