Dr. BUDODI
Dr. BUDODI
June 15, 2025 at 09:03 AM
Changamoto za kimaumbile mbali mbali zinazotekea ndani ya mji wa mimba husababisha utasa. Kugawanyika kwa kizazi(Bicornuate/ Septate Uterus) inaathiri ~2-5% ya wanawake wenye utasa.Hali hii hufanya iwe vigumu kwa wanawake hawa kupata mimba bila matibabu.
Image from Dr. BUDODI: Changamoto za kimaumbile mbali mbali zinazotekea ndani ya mji wa mimba...

Comments