Dr. BUDODI
Dr. BUDODI
June 16, 2025 at 04:04 PM
Kila mwanamke huzaliwa na kiwango fulani cha mayai ambacho hutambulika kama Ovarian Reserve, idadi na ubora wa mayai uliyonayo inapungua polepole kadri miaka inavyosonga hivo wanawake wenye umri mkubwa wanaiwezo mdogo wa kuzaa kuliko wenye umri mdogo. Utasa unaohusiana na umri, unaathiri wanawake zaidi ya 35% wenye zaidi ya miaka 35. Njia za kisasa za upandikizaji zitakusaidia kupata watoto ukiwa na changamoto hii.
Image from Dr. BUDODI: Kila mwanamke huzaliwa na kiwango fulani cha mayai ambacho hutambulika...

Comments