Dr. BUDODI
Dr. BUDODI
June 17, 2025 at 05:00 PM
Mwili wako hufanya kazi kwa muumganiko maalumu unaotambulika kama Coordination mofumo tofauti ya mwili inaweza kutegemeana kwa namna tofauti na hivo mgumo mmoja ukiathirika na mwingine pia unaathirika. Hii ndio sababu kuu ya magonjwa sugu na magonjwa ya muda mrefu ambayo pengine hayana uhusiano wa moja kwa moja na mfumo wa uzazi kusababisha utasa. Magonjwa kama kisukari na hypothyroidism, huathiri 10-20% ya wanawake wanaoshindwa kupata ujauzito. Bila matibabu ni vigumu kwa wenza wenye changamoto hizi kupata watoto.
Image from Dr. BUDODI: Mwili wako hufanya kazi kwa muumganiko maalumu unaotambulika kama Coor...

Comments