Dr. BUDODI
Dr. BUDODI
June 19, 2025 at 06:03 PM
Muumganiko wa mwili(Coordination) wa binaadamu hufanya mfumo wa uzazi kuathirika na hali au magonjwa yanayotokea kwenye mifumo mingine ya mwili. Kansa na matibabu yake, kama radiotherapy na chemotherapy, ~5-10% ya wanawake wenye kansa huangukia kwenye utasa. Ni kutokana na madhara ya moja kwa moja yanayosababushwa na njia hizi za matibabu.
Image from Dr. BUDODI: Muumganiko wa mwili(Coordination) wa binaadamu hufanya mfumo wa uzazi ...

Comments