Mwanzo TV
Mwanzo TV
June 18, 2025 at 12:10 PM
#tanzania: *WASIRA: WAKOLONI WALITUACHIA NCHI HAKUNA HATA DAKTARI MMOJA* “Wametuachia(Wakoloni)nchi hakuna daktari hata mmoja walikuwepo madaktari kutoka India na Pakistani nao walikuwa Dar es Salaam. Wakati tunapata uhuru akina mama walikuwa hawajifungui ila wanazaa maana hakukua na kliniki, hivyo walikuwa wanazaa kama ng’ombe anavyozaa ndama”- Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira
Image from Mwanzo TV: <a class="text-blue-500 hover:underline cursor-pointer" href="/hashtag...
😂 1

Comments