Mwanzo TV
June 18, 2025 at 01:18 PM
*BALOZI DKT POSSI: KUWA MTETEZI WA HAKI ZA BINADAMU HAKUMFANYI MTU KUWA JUU YA SHERIA*
“Kuwa mtetezi wa haki za binadamu hakumfanyi mtu kuwa juu ya sheria za nchi nyingine. Heshima kwa sheria ni msingi wa ushirikiano wa kimataifa,”-Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva, Dkt. Abdallah S. Possi, akizungumza wakati wa majadiliano ya wazi kuhusu taarifa ya mwaka ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa.