Mwanzo TV
Mwanzo TV
June 18, 2025 at 06:49 PM
*BALAA! AJALI MBAYA MBEYA YAWALOWESHA MAJONZI WAFIWA* Mbunge wa Mbeya Vijijini Mhe. Oran Manase Njeza, amefika na kutoa mkono wa pole kwa familia za wafiwa wa ajali ya Lori na Costa iliyotokea Juni 07, 2025 katika mteremko wa mlima Iwambi - Mbalizi wilayani Mbeya. ZAIDI: https://youtu.be/dEcLx9mNK3A

Comments