Mwanzo TV
Mwanzo TV
June 20, 2025 at 02:34 PM
#uswizi: *USWIZI YAFUNGA UBALOZI WAKE NCHINI IRAN KWA MUDA* Uswizi ilitangaza Ijumaa kufunga ubalozi wake mjini Tehran kwa muda, na kuongeza kuwa itaendelea kutekeleza jukumu lake la kuwakilisha maslahi ya Marekani nchini Iran. "Kwa kuzingatia ukubwa wa operesheni za kijeshi nchini Iran na hali ya sintofahamu iliyokithiri nchini, FDFA imeamua kufunga kwa muda ubalozi wa Uswizi mjini Tehran," Idara ya Mambo ya Nje ya Shirikisho ilisema katika taarifa yake.
Image from Mwanzo TV: <a class="text-blue-500 hover:underline cursor-pointer" href="/hashtag...

Comments