
Duro Crypto
June 19, 2025 at 06:24 PM
*🌍 HABARI MPYA ZA CRYPTO - WIKI HII*
*1. Marekani Yapitisha Sheria Mpya ya Stablecoins (GENIUS Act)*
🇺🇸 Bunge la Marekani limepitisha sheria kali ya kudhibiti stablecoins kama USDT na USDC.
*Sasa ni lazima*
Kila stablecoin iwe na 1:1 backing (uwepo kamili na fedha halisi)
Makampuni yafanye audit kila mwaka
Wenye stablecoins walindwe ikitokea kampuni imefilisika.
2. *Coinbase Yaomba Kibali cha Kuuza Stocks Kwenye Blockchain.*
Coinbase inataka kuuza tokenized stocks, hisa kama za Apple au Tesla kupitia blockchain.
Hii ni kama unavyonunua crypto, lakini sasa utanunua hisa muda wowote (24/7), kwa gharama ndogo.
*3. Tron Yatangaza Kujiunga Nasdaq kwa Njia ya mkato(Reverse Merger).*
Tron imeingia kwenye soko la hisa kupitia kampuni ya SRM Entertainment na imepanda bei kwa zaidi ya 500%
SRM itanunua TRX tokens za thamani ya dola millioni 100
