Duro Crypto
Duro Crypto
June 19, 2025 at 06:25 PM
*4. Udukuzi wa Kutisha.* Hackers Wamepora dola millioni 90 kutoka Nobitex (Iran) Kundi la hackers (linaaminika ni kutoka Israel) limeiba zaidi ya dola millioni 90 kutoka exchange ya Iran. Wamedai shambulio hilo ni la kisiasa na wamechoma assets zote Nobitex imezimwa hadi sasa. _*Za ndani ndani*_ Kuna msukumo wa kuifanya Marekani inunue BTC millioni 1 kama akiba ya dhahabu Stablecoins zinazidi kuongezeka, zinaweza kufika dola trilioni 1 ifikapo mwisho wa mwaka

Comments