Duro Crypto
Duro Crypto
June 20, 2025 at 03:55 AM
*Jipange na Crypto!* _Kama Hujui Chochote Kuhusu Crypto, Usihofu Tembea na Series Hizi Kutoka Binance!_ *1. Jiunge na Binance* jukwaa kubwa la kuaminika duniani. 🟡 Tumia referral code: JOINBITCOIN 🌐 Link ya kujiunga: https://www.binance.com/join?ref=JOINBITCOIN ✅ Salama ✅ Rahisi kutumia ✅ Bonasi kwa wanaojiunga! *2. Verify Akaunti (KYC)* Tumia majina yako sahihi kama kwenye ID. Chagua ID: NIDA Passport Driving License Voter ID (Mpiga kura) Upload ID yako kwa njia zifuatazo: Piga picha moja kwa moja. Au upload ID iliyohifadhiwa kwenye simu yako. *Muhimu:* Scan ID pande zote mbili. Hakikisha background ni nyeupe. Mwanga wa kutosha bila kutumia flashlight. Jina liendane na ID. Facial Verification: Usivae miwani, kofia, au vitu vinavyofunika uso. Hakikisha mwanga ni wa kutosha. *Kumbuka:* Kama huna ID, tembelea ofisi ya NIDA ujisajili. *3. Documents Zinazokubalika Tanzania kwa KYC* Passport Driving License National ID (NIDA) Voter ID (Mpiga kura) *Videos za Kujifunza Binance kwa Anayeanza:* ( *Angalia hizi ili ujifunze hatua kwa hatua!* ) 1.https://www.binance.com/live/video?roomId=2151821 2.https://www.binance.com/live/video?roomId=2146617 3.https://www.binance.com/live/video?roomId=2142572 4.https://www.binance.com/live/video?roomId=2141531 5.https://www.binance.com/live/video?roomId=2139850 6.https://www.binance.com/live/video?roomId=2144408 7.https://www.binance.com/live/video?roomId=2144408 8.https://www.binance.com/live/video?roomId=2149679 9.https://www.binance.com/live/video?roomId=2152832 10.https://www.binance.com/live/video?roomId=2160500 *NOTE:* *Fuata hatua zote kwa makini ili uanze safari yako ya crypto kwa mafanikio!*

Comments