UwepoTv E.S.Ministry
UwepoTv E.S.Ministry
May 23, 2025 at 04:18 AM
*KANYAGA NG'E NA NYOKA MAISHANI MWAKO* Kwa jina la Yesu Kristo mwana wa Mungu aliyehai KANYAGA wachawi ( nyoka), mapepo, magonjwa, umasikini, KANYAGA kufeli masomo na biashara. Kila sumu ya NG'E (magonjwa, mapepo majini) haita kudhuru wewe *(Isaya 54:17 hakuna silaha itayofanikiwa juu yako..ikafanikiwa...)* KANYAGA una mamlaka piga hao KANYAGA wasikuharibie uchumi, afya, kazi na biashara au familia. Barikiwa SERVANT: Franklin_Henocko
Image from UwepoTv E.S.Ministry: *KANYAGA NG'E NA NYOKA MAISHANI MWAKO* Kwa jina la Yesu Kristo mwana w...
❤️ 👍 🙏 3

Comments