
UwepoTv E.S.Ministry
May 26, 2025 at 10:17 AM
*OMBA UTOLEWE KWENYE MITEGO YOTE YA SIRI* Kwa mamlaka ya Jina la Yesu Kristo aliyehai kila mtego, nyavu na kifungo ukichowekewa kwa Siri kitoke na king'oke kwa jina la Yesu .. ijue kweli ukawe huru Sasa. *Yohana 8:32* Kweli ni neno na neno ndiye *Yesu Kristo*
Barikiwa
SERVANT: Franklin_Henocko

❤️
👍
🙏
3