
UwepoTv E.S.Ministry
May 27, 2025 at 08:16 AM
*UNAMTEGEMEA NANI?* Maana huko ndio baraka zako zilipo au laana na mikosi.
*Soma*
Yeremia 17: 7 Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea BWANA, Ambaye BWANA ni tumaini lake.
8 Maana atakuwa kama mti uliopandwa kando ya maji, Uenezao mizizi yake karibu na mto; Hautaona hofu wakati wa hari ujapo, Bali jani lake litakuwa bichi; Wala hautahangaika mwaka wa uchache wa mvua, Wala hautaacha kuzaa matunda.
Barikiwa
SERVANT: Franklin_Henocko

❤️
🙏
2