UwepoTv E.S.Ministry
UwepoTv E.S.Ministry
May 29, 2025 at 09:43 AM
*KWA JINA LA YESU KRISTO SIMAMA UENDE* Sina fedha wala dhahabu ya kukupa kwa Jina la Yesu Kristo pokea uponyaji, pokea uchumi, afya njema, ufahamu wa elimu, pokea ndoa, na upendo na kupendelewa. Amen Barikiwa SERVANT: Franklin_Henocko
Image from UwepoTv E.S.Ministry: *KWA JINA LA YESU KRISTO SIMAMA UENDE* Sina fedha wala dhahabu ya kuku...
❤️ 🙏 2

Comments