
UwepoTv E.S.Ministry
May 30, 2025 at 04:15 AM
*FUNGUKA (EFATHA)* Kwa Jina la Yesu Kristo FUNGUKA uchumi, afya iliyofungwa uumwe kila wakati, FUNGUKA elimu yako na watoto wako, FUNGUKA UTOKE gerezani mwa wachawi, FUNGUKA kazini kwako, biasharani Mwako ukastawi kwa jina la Yesu Kristo, FUNGUKA uchawi ukutoke ukamtumike Mungu wa kweli Zaburi 68:4.
EFATHA= FUNGUKA kila jambo lililofungwa kwako kichawi na kishirikinanau kwa laana za wabaya wako kwa jina la Yesu Kristo amen.
Barikiwa
SERVANT: Franklin_Henocko

🙏
❤️
3