
UwepoTv E.S.Ministry
May 31, 2025 at 06:51 AM
*KUMBUKA*
Kuwa Makini na wanadamu,
Hata wale ndugu wa Damu, jipe muda na watu kabla ya kuwapa ukaribu na umuhumu,
Usiwaamini haraka ukaja kujilaumu. Usiwategemee sana wakaja kukudhulumu
Shabbat Shalom
Barikiwa
SERVANT: Franklin_Henocko

🙏
❤️
3