UwepoTv E.S.Ministry
UwepoTv E.S.Ministry
June 3, 2025 at 04:07 AM
*TUUNGAME NA KUTUBU DHAMBI ZETU* Kiri kukosa, Kiri dhambi yako *(ungamo),* TUBU dhambi yaani OMBA MSAMAHA na toba *(acha usitende tena)* TUTUBU dhambi zetu tulizofanya kwa kuwaza, kunena na kutenda. Naye Mungu Baba kwa mamlaka na Nguvu ya ondoleo la dhambi, Nguvu ya Yesu Kristo atatuondolea dhambi zetu kwa Rehema zake kwakuwa yeye ni Mwaminifu na ni Mtakatifu Pekee TUBU acha kujiona Mtakatifu. Barikiwa SERVANT: Franklin_Henocko
Image from UwepoTv E.S.Ministry: *TUUNGAME NA KUTUBU DHAMBI ZETU* Kiri kukosa, Kiri dhambi yako *(ungam...
🙏 ❤️ 5

Comments