
UwepoTv E.S.Ministry
June 20, 2025 at 04:52 AM
*WEMA BILA KUACHA DHAMBI NI BURE* Tubu, acha dhambi. Usiache kutenda wema, kwakuwa wema ni upendo lakini wema bila kuwa msafi mbele za Mungu ni kazi bure kwako mtenda wema na ni faida kwa mtendewa aliyetubu.
Ishi katika Toba, ufunye mbinguni kufurahi kwaajili yako, je hutamani hilo?
Barikiwa
SERVANT: Franklin_Henocko

🙏
❤️
👍
4