UwepoTv E.S.Ministry
June 21, 2025 at 09:20 AM
*MKIRI YESU KRISTO AMINI NA UOKOKE* Kinywa hukiri na ukiri una nguvu ya kiroho na kuamini ni kuwa na uhakika na yaliyojificha rohoni kuwa ni kweli. Kumuamini ni kutenda matendo yaliyoagizwa kutimiza imani.
*UKIMKIRI* tenda matendo sawa na ukiri wako maana IMANI bila matendo imekufa.
Barikiwa
SERVANT: Franklin_Henocko
🙏
❤️
3