IAA Tanzania
June 3, 2025 at 10:16 AM
DIPLOMA IN ACCOUNTANCY
➡️ Kozi hii inamuandaa kijana kufanya kazi katika taasisi za fedha hasa ofisi za uhasibu ikimuandaa kuwa mhasibu.
➡️ Vilevile inamuandaa kijana kujiajiri kwa kuanzisha na kusimamia kampuni yake inayotoa huduma za biashara, uhasibu na fedha
➡️ Kozi hii inamuandaa Kusoma ngazi ya degree katika fani mbalimbali za mambo ya Biashara, Fedha, Benki na Uhasibu
➡️ Kozi hii inatolewa katika kampasi yetu ya Arusha, Babati na Dar es salaam.
➡️ Sifa za kujiunga
DIPLOMA YA MIAKA MIWILI
NTA Level 4: GPA ya 3.0 kutoka chuo kinachotambulika
Form Six: D moja na S
DIPLOMA YA MIAKA MITATU
Form Four: Angalau D nne
➡️ Kujiunga sasa apply Online, Link Iko kwenye post au tuma ujumbe mfupi kwa text, WhatsApp, Kupitia namba; 0742833444
Karibu sana IAA.
#iaanextlevo
👍
❤️
🙏
7