IAA Tanzania
June 9, 2025 at 06:05 AM
DIPLOMA IN COMPUTER SCIENCE
➡️ Sayansi ya Kompyuta ni Kozi inayohusiana na utafiti, kanuni, matumizi ya teknolojia na kompyuta.
➡️ Kozi hii pia inajumuisha utafiti wa data, miundo ya data na jinsi ya kuzichakata.
➡️ Mwanafunzi ataweza Kusoma Mambo mbalimbali kama Complex computing systems, Computer graphics, computer security, web technology, mobile computing and artificial intelligence.
➡️ Vilevile inamuandaa kijana Kujiunga na degree katika fani za Cyber Security, Information Technology, Mobile Applications, Multimedia n.k
➡️ Kozi hii inapatikana katika Kampasi ya Arusha, Babati na Dar es Salaam.
➡️Sifa za kujiunga
DIPLOMA YA MIAKA MIWILI
NTA Level 4: GPA ya 3.0 kutoka chuo kinachotambulika
Form Six: D moja na S
➡️Kujiunga apply Online, Link Iko kwenye post au tuma ujumbe mfupi kwa text, WhatsApp, Kupitia namba 0742833444
Karibu sana IAA.
#iaanextlevo
👍
❤️
3