
IAA Tanzania
June 11, 2025 at 04:44 PM
DIPLOMA IN LIBRARY AND INFORMATION STUDIES
➡️ Maktaba ni muhimili mkubwa sana Katika Elimu na kwa sasa machapisho na vitabu vinapatikana kwa njia mbalimbali. Hivyo, kufanya taaluma hii kuendelea kupanuka kila siku. Kozi hii itakuwezesha kufikia kiwango cha kimataifa katika fani husika.
➡️ Programu hii inaunganisha ujuzi bora wa usimamizi wa habari na umakini mkubwa unaowekwa katika kuendeleza ujuzi na uwezo unaohusiana na mwenendo wa sasa wa matumizi ya teknolojia ya mawasiliano ya habari katika uendeshaji wa maktaba na usimamizi wa habari.
➡️ Vilevile kozi hii inamuandaa kijana Kusoma ngazi ya degree katika fani mbalimbali kama Library, Records na Archives pamoja na Information Management nk.
➡️ Kozi inatolewa katika kampasi Yetu ya Arusha
➡️Sifa za kujiunga
Form Six: D moja na S
Form Four: angalau D nne
➡️ Kujiunga apply online, link po kwenye tangazo hapo juu au tuma ujumbe mfupi kwa text au WhatsApp tukukamilishie usajili 0742833444
Karibu sana.
#iaanextlevo

👍
❤️
4