
IAA Tanzania
June 12, 2025 at 07:25 AM
DIPLOMA IN MULTIMEDIA
➡️ Hii ni kozi ya kipekee nchini ambapo utajifunza mambo mbalimbali yanayoendana na mahitaji ya soko na mabadiliko ya kiteknolojia.
➡️ Kozi hii inakupa ujuzi wa kutengeneza video, biti za muziki, picha, graphics design, nk.
➡️ Vilevile utajifunza kuandika habari hasa zitakazokwenda kwenye mitandao kwa kuzingatia maadili ya uandishi na sheria za mtandao.
➡️ Ukimaliza kozi hii utaweza kujiajiri mwenyewe au kuajiriwa na redio, televisheni au watu maarufu ili uwatengenezee contents kali za picha, video au maneno zinazoendana na maadili na sheria za kimataifa.
➡️ Kozi hii inatolewa katika kampasi Yetu ya Arusha na Dar es Salaam.
➡️ Sifa za kujiunga
DIPLOMA YA MIAKA MIWILI
NTA Level 4: GPA ya 3.0 kutoka chuo kinachotambulika
Form Six: D moja na S
DIPLOMA YA MIAKA MITATU
Form Four: Angalau D nne
➡️ Kujiunga apply Online, Link Iko kwenye post au tuma ujumbe mfupi kwa text, WhatsApp, Kupitia namba; 0742833444
Karibu sana IAA.
#iaanextlevo
❤️
👍
4