
IAA Tanzania
June 13, 2025 at 05:17 PM
DIPLOMA IN INFORMATION TECHNOLOGY
➡️ Kozi hii itakuingiza katika maarifa ya vitendo na nadharia katika teknolojia ya habari, na utajifunza misingi ya programu, sayansi ya kompyuta, mifumo ya biashara, ubunifu wa database, na vyombo vya habari vya kidijitali.
➡️ Mbali na ujuzi wa teknolojia ya habari, kozi hii pia itakujengea ujuzi wa kukuza maendeleo yako ya kitaalamu, ili kuongeza fursa zako za ajira na kujiajiri.
➡️ Kozi hii inamjengea kijana ujuzi wa IT kama kutengeneza networks, apps websites, databases na systems mbalimbali.
➡️ Vilevile inamuandaa kijana kujiunga na degree katika fani za IT, Computer Science, Cyber Security, Business Management nk.
➡️ Kozi hii inatolewa katika kampasi yetu ya Arusha, Babati na Dar es salaam.
➡️Sifa za kujiunga
DIPLOMA YA MIAKA MIWILI
NTA Level 4: GPA ya 3.0 kutoka chuo kinachotambulika
Form Six: D moja na S
DIPLOMA YA MIAKA MITATU
Form Four: Angalau D nne
➡️Kujiunga apply Online, Link Iko kwenye post au tuma ujumbe mfupi kwa text, WhatsApp, Kupitia namba;
0742833444
Karibu sana IAA.
#iaanextlevo
👍
❤️
3