
IAA Tanzania
June 14, 2025 at 06:47 AM
DIPLOMA IN MOBILE APPLICATION DEVELOPMENT
➡️ Hii ni kozi ya kipekee nchini ambapo utajifunza mambo mbalimbali yanayoendana na mahitaji ya soko na mabadiliko ya kiteknolojia.
➡️ Kozi hii inakujengea uwezo na kukupa ujuzi wa kutengeneza mobile apps kwa ajili ya matumizi mbalimbali kulingana na uhitaji katika jamii.
➡️ Vilevile utajifunza kutengeneza website za Kisasa kuendana na matumizi na mahitaji ya sasa.
➡️ Ukimaliza kozi hii utaweza kujiajiri mwenyewe kama mtengenezaji wa programu tumizi-jongevu (mobile apps) au kuajiriwa na watu binafsi, kampuni au taasisi.
➡️ Kozi hii inatolewa katika kampasi yetu ya Arusha na Dar es Salaam.
➡️ Sifa za kujiunga
Form Six: D moja na S (kozi miaka miwili)
Form Four: D nne (kozi miaka mitatu)
➡️ Kujiunga apply online, link ipo kwenye tangazo hapo juu au tuma ujumbe mfupi kwa text au WhatsApp tukukamilishie usajili 0742833444
Karibu sana.
#iaanextlevo
👍
3