IAA Tanzania

IAA Tanzania

24.0K subscribers

Verified Channel
IAA Tanzania
IAA Tanzania
June 15, 2025 at 07:40 AM
DIPLOMA IN RECORDS AND INFORMATION MANAGEMENT ➡️ Kozi hii imeandaliwa ili kukidhi mahitaji ya sasa na ya baadaye ya waajiri katika uwanja wa Usimamizi wa Kumbukumbu na Nyaraka. ➡️ Programu hii inachanganya ujuzi bora wa usimamizi wa kumbukumbu, nyaraka, na habari. Umakini mkubwa unawekwa katika kuendeleza ujuzi na uwezo unaohusiana na mwenendo wa sasa wa matumizi ya teknolojia ya mawasiliano ya habari katika usimamizi wa rejista, kumbukumbu, na vituo vya nyaraka. ➡️ Kozi hii inamuandaa muhitimu kufanya kazi ya kuhifadhi na kutunza taarifa na kumbukumbu mbalimbali. ➡️ Kozi hii inamuandaa kijana kufanya kazi katika taasisi mbalimbali kwenye kitengo cha Masijala. ➡️ Vilevile inamuandaa kusoma ngazi ya degree katika fani mbalimbali za mambo ya Records Management, Public Administration, Human Resources nk. ➡️Sifa za kujiunga Form Six: D moja na S Form Four: angalau D nne ➡️ Kujiunga apply online, link po kwenye tangazo hapo juu au tuma ujumbe mfupi kwa text au WhatsApp tukukamilishie usajili 0742833444 Karibu sana. #iaanextlevo
👍 3

Comments