
IAA Tanzania
June 15, 2025 at 06:44 PM
DIPLOMA IN COMPUTER NETWORKING
➡️ Maendeleo katika teknolojia ya kidijitali kama vile kompyuta, mawasiliano ya mtandao, udhibiti wa kasi kubwa, vifaa smart, na programu, vinasababisha mahitaji ya mara kwa mara ya wataalamu wenye ujuzi.
➡️ Utaalamu na ufahamu wa kiufundi wa kipekee unaotolewa katika kozi hii huwawezesha wahitimu kukabiliana na changamoto za ulimwengu wa kidijitali unaobadilika kila siku.
➡️ Kozi hii itamsaidia kijana kupata ujuzi wa kubuni, kudhibiti na kuendesha mitandao mbalimbali inayotegemea matumizi ya kompyuta
➡️ Vilevile inamuandaa kijana Kusoma ngazi ya degree katika fani mbalimbali za Mambo ya Cyber Security, Information Management, Computer Science, Mobile Application nk.
➡️ Kozi hii inatolewa katika kampasi Yetu ya Arusha na Dar es Salaam.
➡️ Sifa za kujiunga
DIPLOMA YA MIAKA MIWILI
NTA Level 4: GPA ya 3.0 kutoka chuo kinachotambulika
Form Six: D moja na S
DIPLOMA YA MIAKA MITATU
Form Four: Angalau D nne
➡️ Kujiunga apply Online, Link Iko kwenye post au tuma ujumbe mfupi kwa text, WhatsApp, Kupitia namba; 0742833444
Karibu sana IAA.
#iaanextlevo

👍
4