
Bado nature visuals 📸
June 1, 2025 at 07:55 PM
WAJUA? 🐒
Sokwe (Pan troglodytes) wanashiriki zaidi ya 98% ya vinasaba (DNA) na binadamu – wakiwa miongoni mwa viumbe wa karibu kabisa nasi katika mti wa maisha.
Katika Mahale Mountains National Park, sokwe huishi kwenye familia zenye muundo wa kijamii, wakitumia zana kutafuta chakula — mfano kutumia vijiti kuopoa kupe kwenye mashina!
📍Picha hii ilipigwa ndani ya hifadhi ya Mahale, mkoani Kigoma, Tanzania.
❤️
1