Bado nature visuals  📸
Bado nature visuals 📸
June 1, 2025 at 07:59 PM
*Anaangalia, anafikiri, anajifunza* ... 🐒 *Sokwe * ```ni``` ```miongoni mwa viumbe wenye akili kubwa. Wanaunda familia, wanatumia zana, na huonyesha hisia kama _binadamu_ — huzuni, furaha, hata wivu.``` ```Huyu alionekana akiwa ameshikilia mti, kimya, huku akiwaangalia wenzake — kama vile anajifunza au kufikiria hatua inayofuata . ``` *📍Mahale Mountains National Park* *© Bado Nature Visuals 2025*
Image from Bado nature visuals  📸: *Anaangalia, anafikiri, anajifunza* ... 🐒  *Sokwe * ```ni``` ```miong...
❤️ 4

Comments